TEHRAN (IQNA) - Januari 11 2022 ilikuwa siku ya huzuni kwa Waislamu wa Afrika Mashariki na Ulimwengu wa Kiswahili kwa kuondokewa na Sheikh Abdillahi Nassir, aliyekuwa mwanazuoni nguli wa Taaluma za Kiislamu na lugha yetu aushi ya Kiswahili.
Habari ID: 3474921 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12
TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Marehemu Hajj Sheikh Abdullahi Nassir Juma Bhalo, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu na kiongozi wa kimaanawi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia Afrika Mashariki imefanyika katika Msikiti wa Imam Ja'far Sadiq AS katika Chuo Kikuu cha Al-Bayt AS katika mji mtakatifu wa Qum.
Habari ID: 3474817 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17
Inna Lillah wa Ina Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
Habari ID: 3474792 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11